Machozi ya Ufanisi
Hadithi Fupi

Machozi ya Ufanisi

Stephen Mwangi Mbugua

KES
Reading E-Book? Available via Bara Books Platform ›

Specifications

Binding paperback
Language English (EN)
Length --- Pages
ISBN 1234567890

The Work

Hiki ni kisa cha mtu aliyepitia madhila kochokocho na kukumbwa na changamoto mbalimbali maishani. Hadithi hii inachambua kinagaubaga maisha ya kijana Tafi toka utotoni. Mambo mengi aliyoyapitia ujanani ni ya kweli na kusisimua, na kutia hima vijana chipukizi hususan kwenye michakato ya kufikia ufanisi wao. Maisha yake yalianzia mbali hata kabla ya vurugu ya mapambano ya wanaharakati wa uhuru wa Kenya. Hadithi hii inaangazia ari na hamasa ya kijana Tafi kufikia upeo wa lengo lake, ikiwapo kupanda na kushuka maishani kukiwa ni jambo la kawaida. Aidha, hadithi hii ina visa vya kujifunza mengi na hata wewe mpendwa msomaji hutajuta kuisoma. Asante.

LEA Publishers